Hii Hapa Video Ya wimbo Mpya wa Joh Makini ft. Chidinma wa Nigeria

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja


Ni mwanahiphop kutoka Tanzania Joh Makini kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya single yake inaitwa Perfect Combo ambayo kamshirikisha mwimbaji maarufu wa Nigeria anaitwa Chidinma, ukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Joh akipita baadae aone watu wake wanasemaje kwenye comments.

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI