BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AWATUMBUA WAKURUGENZI WAWILI WALIOHINDWA KUJIBU MASWALI YAKE BUKOBA LEO

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba bwana Erato Aron Mfugale na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Vijijini Bi Mwantum Kitwana Dau.

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI