CCM YATANGAZA MABADILIKO YA TAREHE YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA NEC

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya tarehe ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuwa itakuwa ni Novemba 21, 2017 badala ya Novemba 22 na 23, 2017.

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI