VIDEO MPYA: ROMA NA STAMINA FT. MAUA SAMA, DR. SHIKA ( 900 ITAPENDEZA ) NAYE KAPEWA NAFASI YA KUUZA SURA

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Roma na Stamina wametoa ngoma mpya ambapo  wamemshirikisha Mwimbaji Staa Maua Sama, 
Ndani ya ngoma hiyo, Dr Shika aliyejizolea umaarufu wa 900 itapendeza nae kaonekana.

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI