VIDEO: SPIKA NDUGAI AITAKA SERIKALI KUTOA MAELEZO KUHUSU MIKOPO YA WANAFUNZI

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Spika wa Bunge Job Ndugai ameitaka Serikali kutoa maelezo bungeni leo jumatano ya Novemba 8 baada ya kipindi cha maswali na majibu kuhusu suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu  kutakiwa walipe pesa kwanza chuoni halafu ndo waruhusiwe kusaini fomu za kuingiziwa fedha zao

==>Msikilize hapo chini 

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI