MABALA MLOLWA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa MojaMatokeo ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga uliofanyika leo Jumanne Disemba 5,2017 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga

Mabala Mlolwa -702


John Festo Makune - 35
Colonel Ngudungi - 02

Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM taifa 

 Gaspar Kileo - 702
Bernad Shigela - 33
Joyce Masunga-02

Msimamizi wa uchaguzi Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Abdallah Juma Magodi
Mabala Mlolwa

Gaspar Kileo

Wajumbe wakipiga kura

Upigaji kura ukiendelea

 Mbwembwe wakati wa uchaguzi

Picha zote na Anthony Solo - Malunde1 blog

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Bonyeza Like

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI